Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salary 1.5 m net Familia mme ,mke ,mtoto mmoja , mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja Nyumba ya kupanga kodi lak kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwezi Malipo awamu tatu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa...
8 Reactions
39 Replies
291 Views
Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli! Ushahidi huu hapa
7 Reactions
27 Replies
978 Views
Anaandika Zakazakazi, YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22 Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na...
11 Reactions
342 Replies
19K Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
15 Reactions
254 Replies
2K Views
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
7 Reactions
39 Replies
348 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza...
0 Reactions
11 Replies
180 Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,343
Posts
49,629,435
Back
Top Bottom