Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine
Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran
Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya...
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?
Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa,,,nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki...
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk
Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.