Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
8 Reactions
79 Replies
1K Views
Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni. Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu...
3 Reactions
20 Replies
181 Views
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
16 Reactions
68 Replies
2K Views
Rafiki yangu mpendwa, linapokuja kwenye fedha, kila mtu anajua umuhimu wake. Na umuhimu wa fedha siyo kwa sababu ni fedha, bali kwa sababu ya matumizi yake. Fedha ni muhimu kwa sababu...
0 Reactions
3 Replies
101 Views
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
6 Reactions
44 Replies
420 Views
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse...
6 Reactions
48 Replies
886 Views
SAKATA LA VALID ID Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha...
0 Reactions
4 Replies
119 Views
Wakati Lissu anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida, Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi...
3 Reactions
19 Replies
189 Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
9 Reactions
154 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,254
Posts
49,626,724
Back
Top Bottom