Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wanajamvi. Samahani nina kiwanja kina ukubwa wa 2430 square meter. Nataka nijenge uzio ambao ni standard, namaanisha uwe na urefu toshelezi. Msingi una urefu wa futi mbili kutoka...
0 Reactions
6 Replies
180 Views
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
12 Reactions
128 Replies
2K Views
Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
0 Reactions
8 Replies
227 Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
18 Reactions
74 Replies
2K Views
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
11 Reactions
72 Replies
941 Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
28 Reactions
445 Replies
14K Views
The Banking system of Cuba has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media all their money is gone from their accounts, and all Automated Teller Machines (ATM's) have been emptied...
6 Reactions
59 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyosema nauza dume la kisasa ambae ndio ananza kupanda, amepatikana kwa njia ya chupa. Bei: 700,000 Location: Dar es salaam
2 Reactions
5 Replies
145 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,854,389
Posts
49,630,626
Back
Top Bottom