Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
15 Reactions
246 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
0 Reactions
3 Replies
39 Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
1 Reactions
110 Replies
4K Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
13 Reactions
82 Replies
1K Views
Habari wakuu, ivi ni mambo gani muhimu waweza anza nayo kimaisha ili kujikwamua katika hu jobless endapo ukiwa na mtaji wa 1M ndani mwako huku ikiwa kazi ufanyazo sio za kuelewa. Mchango wenu wa...
1 Reactions
7 Replies
39 Views
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu . Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo. Taarifa ile ilimtaka MIIKKA...
1 Reactions
1 Replies
31 Views
Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa...
5 Reactions
9 Replies
35 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,324
Posts
49,628,849
Back
Top Bottom