Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha...
Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na...
Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni
Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba...
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui
tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje
kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya...
Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu...
Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe.
Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena
Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
**weekend hii tulivu nimekaa nikatafakari juu ya Ukuu wa baadhi ya wanaume jamani **
Yaani unakuta mwanaume anagusa kona zote,
Kushoto kulia
Kaskazini mpaka kusini
Anakata mabonde na milima bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.