AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI
Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki."...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Kichwa cha uzi kinajieleza.
Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa.
Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye...
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk.
My Take...
Naona Makamanda humu Mitandaoni wamechachamaa kwamba Star link gharama zake za internet ni kubwa kwa nchi fukara kama yetu
Ndio nauliza hizo gharama mnazilinganisha na nini Hata zionekane zina...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.