Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo.
Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu...
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Samahani wapendwa ,nahitaji hii kitchen furniture ivi ni nzuri kuipaka rangi ile nyeupe au kuiacha ivyo ivyo na vanish ndo inapendeza vizuri? Alafu nauliza pia iyo layer ya juu ni ubao umepakwa...
Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.
**Ushuzi umepata mjambaji
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
Kuonesha wazi UN wamejikita wakingia kifua wa Hamas, mambo yamekuwa Magumu sasa kuhusu Idadi ya Watoto na kina Mama waliopoteza uhai tokea Ugaidi wa Hamas ulipoibuka ghafla Mnamo October 7th 2023...
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.