Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
49 Reactions
262 Replies
6K Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayouona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
2 Reactions
2 Replies
43 Views
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
6 Reactions
39 Replies
685 Views
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on...
8 Reactions
104 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
6 Reactions
44 Replies
893 Views
Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar,watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar,juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SAUDI ARABIA TANZANIA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Mei 14, 2024...
1 Reactions
1 Replies
11 Views
  • Suggestion
Imekuwa ni jambo la kawaida kila mara zifanyikapo sherehe za kitaifa (Sherehe za Uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar) kuambatana na maonyesho ya kijeshi. Maonyesho haya yamekua yakionyesha...
6 Reactions
15 Replies
289 Views
Angalizo kwa Wanabodi na Mode Bandiko hili ni C&P kutoka kwa mwana JF fulani. Kwasababu mwandishi ni member wetu humu na humu hajaileta, naomba ikitokea ameileta humu, then futa hili bandiko...
28 Reactions
173 Replies
14K Views
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
23 Reactions
62 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,966
Posts
49,618,716
Back
Top Bottom