Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
  • Suggestion
Vitalu vya kuvuna kuni na mkaa ni maeneo maalum ambapo uzalishaji wa kuni na mkaa unasimamiwa kwa kuhakikisha upandaji na ukuzaji wa miti, uendelevu wa misitu udhibiti katika uvunaji wa miti. Kuni...
1 Reactions
2 Replies
38 Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
18 Reactions
158 Replies
1K Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
18 Reactions
84 Replies
2K Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
6 Reactions
166 Replies
3K Views
Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA...
3 Reactions
20 Replies
245 Views
1: Onana 2: Dalot 4: Lisandro Martinez 5: Jarrad Brathwaite 3: Ian Maatsen 6: Mainoo 8: Joao Neves 10: Bruno Fernandes 7: Kvaratskhelia 11: Garnacho 9: Hojlund
2 Reactions
9 Replies
138 Views
Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa...
5 Reactions
21 Replies
565 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania...
6 Reactions
55 Replies
939 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,418
Posts
49,716,387
Back
Top Bottom