Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.
**Ushuzi umepata mjambaji
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
Kuonesha wazi UN wamejikita wakingia kifua wa Hamas, mambo yamekuwa Magumu sasa kuhusu Idadi ya Watoto na kina Mama waliopoteza uhai tokea Ugaidi wa Hamas ulipoibuka ghafla Mnamo October 7th 2023...
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
Serikali imesema inatarajia kutumia Shilingi Bilioni 900 kugharamia uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa mchanganuo wa Bilioni 600 Kwa Bilioni 300 ambazo zimetengwa kwenye Bajeti ya...
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.