Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo...
1 Reactions
10 Replies
175 Views
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk. My Take...
3 Reactions
4 Replies
44 Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
6 Reactions
52 Replies
522 Views
Wakubwa samahani, Mimi nimemaliza form four mwaka 2024 na nimepata division 2 point 20 nataka kwenda chuoni moja kwa moja. So Nilikuwa naomba mnijuze kozi za art ambazo soko lake la ajira sio gumu.
1 Reactions
1 Replies
6 Views
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
4 Reactions
25 Replies
334 Views
Mzuka Wanajamvi! Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia. Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
7 Reactions
121 Replies
3K Views
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
3 Reactions
38 Replies
821 Views
1.Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online ( Bluetick) 2.Unamuona online ila hawezi hata kukutext,Yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3.Mlipokuwa mnaongea Kwenye simu...
0 Reactions
2 Replies
21 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Salam kwenu. Kufuatia changamoto ya internet tunayoendelea kuipata niiombe TCRA kuyaagiza makampuni yote yanayotoa huduma za internet. 1. Kufidia wateja wote kwa kurejesha bando zilizolika ama...
0 Reactions
5 Replies
207 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,922
Posts
49,617,476
Back
Top Bottom