Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja
Huko tunakoelekea teknolojia...
Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick)
2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext
3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.