Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
Kama kichwa Cha habari tajwa....
Sifa nlizonazo
a)Dereve wa Gari zote( kubwa na Ndogo) kama mabosi wa
Magari mpo humu nawakaribisha
b)kama wewe ni Dereve unahitaji conductor pia nipo tayari...
Kumekuwa na usiri siri wa ajabu sana. Kwanza waziri alikuwa anachenga changa mpaka akabanwa na wabunge kuhusu mikataba ya KIA na kuhakikisha kiwanja kinarudi serikalini. Sasa tunasikia kuna...
Kichwa cha uzi kinajieleza.
Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa.
Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye...
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo
December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio...
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benk ya CRDB
Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa...
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.
Hayo yamebainishwa...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.