Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
Serikali imesema inatarajia kutumia Shilingi Bilioni 900 kugharamia uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa mchanganuo wa Bilioni 600 Kwa Bilioni 300 ambazo zimetengwa kwenye Bajeti ya...
Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.
**Ushuzi umepata mjambaji
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa...
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on...
Wakuu Heshima mbele.
Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni.
TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.