Mtanzania, Denis Mfumbulwa (44) anayedaiwa kujipatia huduma ya kula katika Hoteli ya Serena bila kulipa, ameachiwa huru katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es salaam kwa sababu hakuna...
Wewe kama mwana Jf unafahamu kwamba wabunge wapo bungeni kujadili bajeti ya nchi?
Tangu bunge lianze kujadili bajeti umefuatilia na kuona mjadala wowote wa kibajeti? Kwa namna mambo yanayokwenda...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana!
Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni...
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda...
Sijui kama watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala...
Au Tatizo ni Elimu
Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali
Enzi za Adam Lusekelo au...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaheshimu mhimili wa Mahakama na katika usikilizaji kero za wananchi, viongozi wa chama hicho hawatajihusisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.