Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
5 Reactions
46 Replies
511 Views
Je ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Bar asilimia kubwa ni pisi...
4 Reactions
13 Replies
77 Views
Hii ni aina mpya ya uchawi na njia ya mkato ya kupata pesa bila kuzitolea jasho! Ni utajiri flani hivi ambao unapewa kibegi na mganga na popote unapoenda lazima ukibebe mgongoni. Ndani ya kibegi...
133 Reactions
433 Replies
54K Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
10 Reactions
77 Replies
2K Views
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
10 Reactions
70 Replies
2K Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
23 Reactions
217 Replies
4K Views
Mwanachuo kijana wa Chicago alitembea katika programu ya mahafali ya chuo kikuu chake baada ya kuweka historia kwa kupata shahada ya udaktari akiwa na umri wa miaka 17. Dorothy Jean Tillman II...
1 Reactions
11 Replies
85 Views
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake...
2 Reactions
3 Replies
20 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,058
Posts
49,621,316
Back
Top Bottom