Sijui kama watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala...
Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya...
Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana!
Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Mtanzania, Denis Mfumbulwa (44) anayedaiwa kujipatia huduma ya kula katika Hoteli ya Serena bila kulipa, ameachiwa huru katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es salaam kwa sababu hakuna...
Wanawake wa Mwembeni, Kata ya Madanga Mkoani Tanga wamegoma kubeba ujauzito baada ya makubaliano na waume zao kwasababu wanapata shida wakati wa kujifungua kwani wanalazimika kutembea umbali mrefu...
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Napigwa bit kwa kuhisi kua nataka kuwasiliana na mama yake mtoto nikiwa na mke wa sasa.. Vipi huko mwenzangu? Imekua kesi, yani sipat wahasa wa kuongea na dogo kwa sasa Ana miaka 4. Toka niachane...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa amesema siku yoyote anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo vyombo vya ulinzi na usalama vidhibiti ubaguzi dhidi ya Wanzibari...
Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.