Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu. Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe...
0 Reactions
3 Replies
16 Views
Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatangaza bei mpya ya nishati ya mafuta. Kwa asilimia kubwa kila wakitangaza ni ongezeko tu la bei na siyo punguzo. Ukichukua mfano wa nchi zote za jirani...
3 Reactions
10 Replies
263 Views
Wakuu Heshima mbele. Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
11 Reactions
106 Replies
1K Views
Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
8 Reactions
37 Replies
736 Views
Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
0 Reactions
5 Replies
119 Views
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
12 Reactions
134 Replies
2K Views
Depression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
13 Reactions
68 Replies
925 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
58 Reactions
320 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,979
Posts
49,619,231
Back
Top Bottom