Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sijui kama watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala...
1 Reactions
2 Replies
18 Views
Habari wadau. Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa! Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio...
2 Reactions
2 Replies
18 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaheshimu mhimili wa Mahakama na katika usikilizaji kero za wananchi, viongozi wa chama hicho hawatajihusisha...
0 Reactions
1 Replies
25 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
23 Reactions
197 Replies
3K Views
Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA. Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi...
7 Reactions
18 Replies
85 Views
Na Mwandishi Wetu Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza...
1 Reactions
24 Replies
982 Views
Mtanzania, Denis Mfumbulwa (44) anayedaiwa kujipatia huduma ya kula katika Hoteli ya Serena bila kulipa, ameachiwa huru katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es salaam kwa sababu hakuna...
2 Reactions
11 Replies
168 Views
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja. Huko tunakoelekea teknolojia...
4 Reactions
35 Replies
783 Views
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba. Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda...
10 Reactions
29 Replies
235 Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
4 Reactions
67 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,049
Posts
49,621,082
Back
Top Bottom