Ghorofa linauzwa.
Eneo: Mtoni Kijichi
Ukubwa: Sqm 1250
Nyaraka: Ina Hati Miliki.
Ina vyumba vinne(4), master bedrooms 2, sitting room, dining room, kitchen na public toilet. Pia Kuna boycota moja...
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 Zishavunjika ndani ya mda mfupi tu hivi simuowe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu
Basi mkiowana msichane ili mtupe moyo think...
Waziri Mkuu wa Slovakia mbaye ni mkosoaji mkubwa wa upelekaji misaada ya silaha Ukraine amepigwa risasi nne wakati akihutubia wananchi na amekimbizwa hospital na helicopter kwa matibabu zaidi...
Kichwa cha uzi kinajieleza.
Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa.
Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye...
IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s
"Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952":
"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid...
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
Rais Bola Tinubu ameagiza mashirika yote ya serikali kununua magari yanayotumia gesi pekee kama sehemu ya juhudi za nchi hiyo za kuhamisisha na kuhamia katika matumizi ya nishati safi na kupunguza...
Kumekuwa na usiri siri wa ajabu sana. Kwanza waziri alikuwa anachenga changa mpaka akabanwa na wabunge kuhusu mikataba ya KIA na kuhakikisha kiwanja kinarudi serikalini. Sasa tunasikia kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.