Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka Wanajamvi! Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia. Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
5 Reactions
10 Replies
57 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
125K Views
Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happi anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa...
0 Reactions
14 Replies
728 Views
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi? Au mimi kuna kitu sielewi?
0 Reactions
7 Replies
124 Views
Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie. Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe. Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa. Ukiona mtu...
4 Reactions
15 Replies
424 Views
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu: 1. UKOSEFU WA UZALENDO: Watuhumiwa wote wa...
10 Reactions
45 Replies
655 Views
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ; Dar es Salaam Mwanza Tanga Mbeya Arusha Dodoma Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
5 Reactions
69 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,726
Posts
49,612,099
Back
Top Bottom