Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunakumbushana tu Mungu wa mbinguni awabariki sana 😀😀😀😀
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
15 Reactions
113 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Kati ya wachezaji wenye bahati ni mkude. Yaani wakati Simba wanamwona wa nini Yanga watamtaka lini Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasa. Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa Berkane...
2 Reactions
1 Replies
147 Views
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023) Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022) Mwaka juzi 198k (2021) Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
9 Reactions
133 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
4 Reactions
69 Replies
1K Views
DPP AMFUTIA KESI ALIYEJIPATIA BILIONI 5 KWA UDANGANYIFU Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amemfutia kesi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya, aliyekuwa anakabiliwa...
1 Reactions
11 Replies
912 Views
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok? Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Usijidanganye kwenda bondeni kutafuta maisha kama huna msingi, wala kibali. Kama unaweza kulipa nyumba Milioni kwa mwezi hapa Tanzania basi unaweza kuishi huko. Kama unaweza kuishi Masaki na...
78 Reactions
241 Replies
29K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,686
Posts
49,611,285
Back
Top Bottom