Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti huo...
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki!
1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa...
Ni mafanikio makubwa ya Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia
Waziri wa afya Ummy amesema Hospital ya Mifupa MOI itaanza Kutoa Huduma za upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu kwa...
“Nape, unawaogopa StarLink. Kwanini?”
February 2023, Michael Coudrey (30), Mwenyekiti na CEO Pharos Investment Group kutoka USA alimtaka C.E.O wa StarLink, Elon Musk kuhakikisha Starlink...
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
Wasalaam ndugu zangu.
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo:
Umri: miaka 40 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.