Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
Dar es Salaam
Mwanza
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo...
Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi?
Habari wanajf wote ,Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya .
Naomba kujuzwa kitaalamu.
Natanguliza shukurani!!!
Rais Samia huyoo?
Sasa hivi kaenda Ufaransa!
Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri.
Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali...
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.