Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila shaka wana jukwaa mpo baraabaraa kabisa. Jamani nyinyi wnaawake najua kua kweli maisha ni magumu na sometimes mkipata chance mnatamani kutumia mbinu yoyote (ikiwemo shirk) ili kufanikisha...
4 Reactions
15 Replies
72 Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI. “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Katika jinai ya kikatili ambayo...
2 Reactions
58 Replies
755 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Eti wakuu pale kwenye ibada inatakiwa kutoa pesa ngapi kama mchango wa sadaka au kiwango chochote ni sawa tu?
3 Reactions
15 Replies
102 Views
HIP HOP YA BONGO. Wasanii wa hiphop wanaunda sehemu kubwa na ya muhimu katika muziki wa Tanzania. Japo kuna watu wanaoamini kuwa ushindani kati ya rappers wa Tanzania umepungua ukilinganisha na...
3 Reactions
8 Replies
548 Views
Nani kaelewa hii code ya hawa watu
7 Reactions
33 Replies
312 Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
5 Reactions
88 Replies
1K Views
Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored. Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini? Mimi binafsi...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu SISI PEOPLE TUTAKUTANA
4 Reactions
11 Replies
271 Views
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa...
3 Reactions
7 Replies
135 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,654
Posts
49,836,603
Back
Top Bottom