Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua...
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
Rais Samia huyoo?
Sasa hivi kaenda Ufaransa!
Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri.
Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali...
Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo.
Wamesema...
Wasalaam,
Sehemu kubwa ya jamii haijui sheria mbalimbali hivyo, hushindwa kuchukua hatua dhidi ya wanaovunja sheria hizo na kuharibu ustawi wa jamii ya makundi yote.
Kusambaza maudhui mbalimbali...
Shalom,
Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa...
Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.