Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
16 Reactions
143 Replies
2K Views
Hivi🤔 unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Swala la shetani na uchawi limepelekea watu kujipatia utajiri na mafanikio makubwa huku Africa. Watu wamekuwa wakifanya mambo pasipo kutumia Akili na mwisho zigo la lawama wanamtupia shetani ...
0 Reactions
2 Replies
37 Views
Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Josep Msukuma ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa jana Bungeni Dodoma.
1 Reactions
22 Replies
251 Views
Kama kuna mdau anaelewa,hivi huyo Okra mchezaji wa yanga yuko wapi?,haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani,na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi,yuko wapi?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
15 Reactions
111 Replies
3K Views
Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako. Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili...
1 Reactions
1 Replies
26 Views
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe. 2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
10 Reactions
57 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,678
Posts
49,611,112
Back
Top Bottom