Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Dar es Salaam - 13,719 Shinyanga - 12,300 Mara - 9,823 Mwanza - 9,242 Geita - 7,697 Kigoma - 7,544 Kagera - 7496 Tabora - 7,471 Ruvuma - 7,425 Tanga - 6,827 Chanzo: Wizara ya Afya
2 Reactions
13 Replies
345 Views
Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter...
1 Reactions
21 Replies
733 Views
Ndugu Janabi amekua akitoa ushauri Tata kuhusu lishe,Hali iliyowafanya watanzania wengi kubaki njia panda. Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania Huyu Janabi sio wa kwanza, miaka ya nyuma Kuna...
9 Reactions
21 Replies
716 Views
Wasalaam, Sehemu kubwa ya jamii haijui sheria mbalimbali hivyo, hushindwa kuchukua hatua dhidi ya wanaovunja sheria hizo na kuharibu ustawi wa jamii ya makundi yote. Kusambaza maudhui mbalimbali...
32 Reactions
88 Replies
2K Views
Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25 Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000 Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21 ➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84 ➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
4 Reactions
18 Replies
238 Views
Wakuu Heshima mbele. Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
1 Reactions
8 Replies
153 Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
5 Reactions
72 Replies
1K Views
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za...
43 Reactions
882 Replies
116K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,712
Posts
49,611,733
Back
Top Bottom