Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika Natanguliza shukrani
0 Reactions
8 Replies
160 Views
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo. Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
1 Reactions
1 Replies
94 Views
wakuu mambo ni vipi Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia. Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu...
9 Reactions
190 Replies
5K Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
5 Reactions
74 Replies
1K Views
Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine...
6 Reactions
35 Replies
812 Views
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Ktk...
4 Reactions
10 Replies
212 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
70K Views
MIMI NA MIMI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★...
3 Reactions
131 Replies
12K Views
  • Suggestion
Tanzania boasts a young and vibrant population, with a large portion attending government schools. Yet, the daily commute to and from school remains a hurdle for many students, impacting...
0 Reactions
1 Replies
14 Views
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5..mazingira yawe masafi yenye maji...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,752
Posts
49,612,897
Back
Top Bottom