Mzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pwmojanna mashirika mengine kama...
Tunakaribia Siku ya 4 hatuna huduma nzuri ya Intaneti na cha ajabu ni kwamba hadi leo Watoa Huduma wanatoa taarifa tu badala ya kuzungumzia kutulipa fidia ya hasara waliyotusababishia pamoja na...
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki!
1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa...
Ewe mwanamke sikia hii, siri za mmeo ziweke kibindoni, kwamba ni malaya sana, unamfumania siku zote, kwamba kitandani ni dhaifu, kwamba ni muongo, kwamba huwa anajinyea hovyo, kwamba hana kazi ya...
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
Dar es Salaam
Mwanza
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.