Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salam kwenu. Kufuatia changamoto ya internet tunayoendelea kuipata niiombe TCRA kuyaagiza makampuni yote yanayotoa huduma za internet. 1. Kufidia wateja wote kwa kurejesha bando zilizolika ama...
0 Reactions
3 Replies
101 Views
Salamu. Kuna taarifa zinavuma kwamba kuna walimu wa huko Minjingu wa shule za msingi wamefukuzwa kazi. Inadaiwa barua zao zimetoka Tamisemi za kufukuzwa kazi. Mlioko huko naomba mtujuze zaidi ama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
7 Reactions
73 Replies
931 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
27 Reactions
215 Replies
5K Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
6 Reactions
24 Replies
255 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Habari wakuu, Naomba nitoe heshima zenu kwa wale wote walio wakubwa kwangu na ni niende moja kwa moja kwenye mada kuhusiana na wenzetu wanawake, ambao ni wasaidizi wa maisha yetu kama muumba...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
3 Reactions
168 Replies
2K Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
4 Reactions
33 Replies
324 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,828
Posts
49,614,913
Back
Top Bottom