Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa siku 100 pekee
Sisi tunavunja rekodi kwa matozo tu
Habari katika picha
=====
India has achieved another milestone in...
Moja ya sababu kubwa inayofanya timu za ndani kung'ang'ania kushika nafasi za juu ni kucheza mashindano ya kimataifa. Sasa leo CAF wamekuja na mashindono makubwa yanayohusisha timu kutokana na...
Siku zote tunapowasifia Wazungu humu kwa Mambo mbalimbali, ikiwemo na ile Misaada ya Hali na Mali wanayotupa, Wajinga Wanatushambulia, kwa hoja kwamba tunawasujudia mabeberu.
Haya tuwaulizeni...
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
Shaloom,
Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka...
Source: Taifa Tanzania
Chama cha CUF kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu wake Ijumaa ijayo February 27,mwaka huu ambapo Profesa Abdallah Jumbe Saffari anawania nafasi ya Uwenyekiti,nafasi ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.