Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atalitolea tamko pamoja na...
0 Reactions
6 Replies
107 Views
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
31 Reactions
123 Replies
3K Views
Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
0 Reactions
7 Replies
101 Views
Ahabu - mke 1 Herode - mke 1 Anania - mke 1 Pontio Pilato - mke 1 Yeroboamu - mke 1 Nebukadreza. - mke 1 Hamani - mke 1 Na wote walipotea njia na kumsaliti Mungu. 1. Ibrahimu -...
4 Reactions
8 Replies
241 Views
Nataka nidownload nizijazs kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wkt nafanya hom workout Msaada tafadhali waungwana!!
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini. Cost iwe tsh...
1 Reactions
26 Replies
669 Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
2 Reactions
193 Replies
44K Views
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
4 Reactions
53 Replies
785 Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
15 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,453
Posts
49,604,627
Back
Top Bottom