Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Habar eadau
Hii mila ua eanaume kuwatongoza wamawake imepitwa ma wakar
yaan unakuta mdada anakufuata bra bra kibao mara simu yngu imasumbua norekebishie mara nimekufananisha mara hv mara...
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi
Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.