Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
2 Reactions
24 Replies
295 Views
Wasalaam, Sehemu kubwa ya jamii haijui sheria mbalimbali hivyo, hushindwa kuchukua hatua dhidi ya wanaovunja sheria hizo na kuharibu ustawi wa jamii ya makundi yote. Kusambaza maudhui mbalimbali...
20 Reactions
49 Replies
547 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
25 Reactions
74 Replies
2K Views
Dar es Salaam - 13,719 Shinyanga - 12,300 Mara - 9,823 Mwanza - 9,242 Geita - 7,697 Kigoma - 7,544 Kagera - 7496 Tabora - 7,471 Ruvuma - 7,425 Tanga - 6,827 Chanzo: Wizara ya Afya
1 Reactions
13 Replies
128 Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
1 Reactions
3 Replies
40 Views
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yatu, Ni Maono na kiu ya Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi...
1 Reactions
1 Replies
22 Views
Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa...
7 Reactions
19 Replies
685 Views
Ghorofa Inauzwa. Ina Floor 7 Eneo: Ipo Mtaa wa India, Opposite na J.M.Mall Posta. Nyaraka: Ina hati miliki. Bei: Dola Milioni 1.5. @prathlimited Mawasiliano: 0767 833345 0784 829565
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM. Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe atalitolea tamko...
5 Reactions
81 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,514
Posts
49,606,378
Back
Top Bottom