Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Wana wa mungu, nawasalimu na poleni kwa tatizo la internet kuwa chini. Napenda tu nitoe kero zangu kwa baadhi ya posts. Hivi ni kweli kwa huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kuna...
2 Reactions
14 Replies
236 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
37 Reactions
175 Replies
5K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
8 Reactions
40 Replies
947 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Hv ni kwel kwa waendao kwa wagang kuna dawa mix full ya kumvuta mpenz kwa harak? Kama kwel ajuae atujuze! Maana weng waongo.
3 Reactions
89 Replies
4K Views
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado. Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na...
32 Reactions
213 Replies
27K Views
India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile Habari katika picha =====...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
3 Reactions
32 Replies
531 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,414
Posts
49,603,930
Back
Top Bottom