Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
4 Reactions
39 Replies
897 Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
19 Reactions
52 Replies
4K Views
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana...
11 Reactions
94 Replies
7K Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
8 Reactions
119 Replies
2K Views
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
8 Reactions
25 Replies
477 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
30 Reactions
110 Replies
3K Views
Maajabu na vimbwanga vya serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao, Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huu ni muendelezo wa Uzi wa Kuhoji Nishati gani kwa Tanzania ni Safi na Ina Uwezekano mkubwa kufanikiwa. Kwenye huu Uzi taelezea ni jinsi Gani Nishati hii Safi na Bora kuliko Gesi inaweza kuwa na...
2 Reactions
3 Replies
77 Views
Naiombea kwa Mola timu yangu yanga kesho tushinde,kila mwananchi ungana nami kusali kwa dini kesho tupate ushindi
5 Reactions
19 Replies
439 Views
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu...
3 Reactions
17 Replies
237 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,549
Posts
49,607,589
Back
Top Bottom