Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu. Nnachojiuliza, Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani. Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko...
3 Reactions
3 Replies
116 Views
Salaam shalom!! Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee, Tafsiri hapo ni kuwa, battle...
3 Reactions
29 Replies
590 Views
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
10 Reactions
238 Replies
8K Views
Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana Nitaanza na mfano 1. Kidimbwi 2. Toroka uje Weka jina unalofahamu
0 Reactions
22 Replies
280 Views
Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipen mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
1 Reactions
8 Replies
96 Views
Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Shalom, Nawakaribisha tena kwenye vibe langu la Yale mambo yetu, baada ya ule Uzi kuwa unatembea na viral Moja Kali sana kama kimbunga hidaya zi vibaya tukaendeleza kikao chetu cha wale design...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki. Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe? Akitokea kichaa mmoja tu...
1 Reactions
3 Replies
92 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,606
Posts
49,608,561
Back
Top Bottom