Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
13 Reactions
163 Replies
6K Views
Pia kuna watu wananishauri eti ni watairi kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto...
1 Reactions
7 Replies
37 Views
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok? Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani...
4 Reactions
15 Replies
440 Views
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla? Tax itakuwa bei gani? Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli. Nipo Dar es...
4 Reactions
29 Replies
602 Views
Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini. Mkurugenzi...
6 Reactions
81 Replies
4K Views
Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa...
0 Reactions
5 Replies
68 Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
1 Reactions
8 Replies
262 Views
Habari za jioni ndugu. Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe. Mimi binafsi furaha yangu...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania. Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
11 Reactions
103 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,536
Posts
49,607,158
Back
Top Bottom