Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Mwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo kati ta Yanga dhidi ya Kagera Sugar, Shaban Mussa kutoka Geita ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitano (5) kwa kosa la kushindwa kutafsiri...
THE NYERERE YEARS
Nakifahamu kitabu hiki kuhusu marafiki wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
In Shaa Allah nitajaribu kuandika niyajuayo kutokana na majina ya hawa ambao ni rafiki zake na ndiyo...
Mzuka wanajamvi!
Mwanajamvi machachari maarufu jamvini (mzee mgayas secretary) johnthebaptist ambaye haeleweki yuko mrengo gani sasa hivi kaja na mbwembwe flani ya kuongezea kapicha ka dubu...
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na...
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS
Sababu ni hizi
1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.