Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae.
Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila...
Bandari Kavu ya Kwala iko katika eneo la Vigwaza Wilayani Kibaha-Mkoa wa Pwani, kilomita 15.5 kutoka barabara kuu ya Morogoro kwa kutokea katika Mzani wa Vigwaza na kilomita 105.5 kutoka Bandari...
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi
Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe atalitolea tamko...
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya...
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili.
=====
Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.