Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN!
April 8, 2024
Arusha
⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na...
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023)
Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022)
Mwaka juzi 198k (2021)
Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama.
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda...
Habari zenu Ba Ndugu Baada ya Kusoma sana Jamii Forums Bila Kujisajili Hatimaye Nimekuja.
Mimi Mgeni Naombeni Mnipokee.
Nimevutiwa na Nyuzi Nyingiii Humu, Umughaka, Mshana jr , Mtibeli , Controlla...
Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi...
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.