Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki...
Katika jambo linalowasumbua watanzania wengi kati ya mengi yaliyopo, soka letu linaendelea kututia Shaka kila kukicha, sis kama wadau WA mchezo huu pendwa na wenye chachu ya kuona mafanikio kwenye...
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:
1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa...
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yatu..Ni Maono na kiu ya Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa...
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.