Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla. Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni...
5 Reactions
47 Replies
609 Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
4 Reactions
56 Replies
858 Views
Hizi ni baadhi ya kumbi za dansi na starehe miaka ya 80s na mwanzoni mwa miaka ya 90s jijini Dar 1.Wapi wapi's - Chang'ombe 2. Mundo bar - Temeke 3. Dimax bar - Tandika 4. Mango bar - Tandika...
5 Reactions
14 Replies
267 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
30 Reactions
113 Replies
3K Views
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!! 1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu 2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo. Hoya P.Funk karudi...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
8 Reactions
120 Replies
2K Views
Wajuzi msaada. Nimepakua WhatsApp lakini mtandao unagoma ku-verify. Nimeshindwa kupata verification code kwa sms wala kwa call. Msaada! Mbinu mbadala. Tunakosa hela jamani!
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana...
11 Reactions
95 Replies
7K Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
4 Reactions
39 Replies
980 Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
19 Reactions
52 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,549
Posts
49,607,589
Back
Top Bottom