Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika! Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
4 Reactions
54 Replies
465 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
70K Views
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok? Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani...
9 Reactions
19 Replies
621 Views
Wasalaam, Sehemu kubwa ya jamii haijui sheria mbalimbali hivyo, hushindwa kuchukua hatua dhidi ya wanaovunja sheria hizo na kuharibu ustawi wa jamii ya makundi yote. Kusambaza maudhui mbalimbali...
26 Reactions
72 Replies
1K Views
Hapo jana Misri imetoa tamko kuwa kuanzia sasa haitotoa ushirikiano tena na Israel katika kupitisha misaada mpaka wa Rafah. Nongwa hiyo ya Misri ni kwa vile ati Israel imejichukulia jukumu la...
2 Reactions
20 Replies
531 Views
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni...
11 Reactions
15 Replies
333 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Wakuu, Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu. Nnachojiuliza, Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia...
2 Reactions
15 Replies
184 Views
UNATESEKA KWA SABABU KUNA UKWELI HUTAKI KUUKUBALI. 1. Kakuacha ila hutaki kukubali kuachwa 2. Hawana muda na wewe ila unalazimisha wawe nao 3. Njia siyo yenyewe ila unalazimisha iwe yenyewe...
3 Reactions
3 Replies
207 Views
Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe. Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaada wowote, napewa dawa za maumivu sababu...
5 Reactions
29 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,577
Posts
49,607,872
Back
Top Bottom