Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani. Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimekuwa mwalimu sasa ni miaka 9, nimejifunza mambo mengi Sana kuhusu Ajira za serikali ( TAMISEMI), kikubwa nilichojfunza Ajira ni gari inayokupeleka kwenye umaskini hasa ukiwa na akili ndogo...
1 Reactions
4 Replies
10 Views
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria...
5 Reactions
28 Replies
531 Views
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama. Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda...
1 Reactions
5 Replies
41 Views
Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili. ===== Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years...
1 Reactions
21 Replies
506 Views
Habari! Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa" Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
140 Reactions
1K Replies
460K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM. Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe atalitolea tamko...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
4 Reactions
51 Replies
615 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,483
Posts
49,605,354
Back
Top Bottom