Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happy anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa...
0 Reactions
2 Replies
26 Views
waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
78 Views
Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
1 Reactions
6 Replies
207 Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Heshima sana wana ukumbi, Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo. Katika tafakari yangu ta leo...
5 Reactions
25 Replies
752 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
24 Reactions
241 Replies
7K Views
Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
8 Reactions
91 Replies
1K Views
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni...
4 Reactions
29 Replies
365 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,523
Posts
49,606,764
Back
Top Bottom