India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee
Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile
Habari katika picha
=====...
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023)
Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022)
Mwaka juzi 198k (2021)
Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa.
Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
TETESI: Nyanda wa Klabu ya Simba, Ayoub Lakred ameamua kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja klabuni hapo kufikia ukomo.
Kwa mujibu wa ripoti Ayoub (28)...
Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center!
Kama upo interested...
Heshima sana wana ukumbi,
Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo.
Katika tafakari yangu ta leo...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.