Wakuu vipi?
Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje?
Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Kiwanja kinauzwa Kiluvya Gogoni
Ukubwa ni mita 22x24,kipo umbali wa mita 200 kutoka barabara kuu ya lami,morogoro Road
Bei milioni 17 maongezi kidogo yapo
0675065906
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu ( ambao most likely ana unasaba nao). CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea...
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge.
In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge!
Disappointment ya hali ya juu.
Wakazi wa Kigamboni...
Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa...
Je unafanya biashara ya ukopeshaji na ungependa kupata mfumo wa computer utakaokusaidia shughuli zako za ukkopeshaji?
LOAN MANAGEMENT SYSTEM
Mfumo wa usimamizi masuala ya kuweka pesa na kukopa...
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.
Makonda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.